AUDIO:NYIMBO ZA H_DIZZO –NIMERUDI TENA NA SITAKI MWINGINE ft. JUMA BEE ZIMELALAMIKIWA BAADA YA KUTOKUFANYIWA VIDEO ##

Msanii wa bongo  fleva H_dizzo  amewaomba wadau radhi kwa kushindwa  kukamilisha ahadi yake ya kutoa video Za nyimbo zake # Sitamani mwingine#Nimerudi tena alizozifanya katika studio za  Madebeni Rec chini ya C.o Producer:Jb Feeling kama alivyokuwa ameahidi  kuzitengeneza na kuzitambulisha  kabla ya mwezi wa nne.

UNAWEZA KUMSILIKIZA HAPO CHINI :


Lakini kwa upande mwingine ameamua kutuachia kazi zake hizo kwa upande wa audio unaweza kuzisikiliza hapa.
# AUDIO NIMERUDI TENA _H DIZZO
# SITAMANI MWINGINE AUDIO

Kumekuwa na changamoto ya wasanii chipukizi kukamilisha mipango ya kufanya  video haswa chipukizi kwa hapa Tanga wakiwa na advantage ya kuwa na kituo cha television ambacho kina toa mchango mkubwa katika kuzirusha kazi zao hapa nyumbani TANGA TV mbali ya Tanga na  maeneo mengine pia  hii inachangiwa na hali duni ya kipato ilhali wakiwa wanatamani kufanikiwa katika tasnia hii ,kuna haja ya wadau wanaoguswa (MANAGEMENT) kusupport vipaji hivi  kwa kuwa push angalau kwa kidogo walichonacho ili kuviendeleza , lakini kwa upande mwingine kuna haja pia ya wasanii kuangalia upepo umekaaje isiwe kila mmoja anatamani kafanya music wengine wawe wasikilizaji tu, ili kutokuruhusu upotezaji wa muda mwingi katika shughuli ambayo hutoimudu.
@H_Dizzo contact_+255-718 1201 36
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment