NEW MUSIC:SIKILIZA WIMBO MPYA KUTOKA KWA MANSASHA AMEMSHIRIKISHA TUNDA MAN NA MERATA ##

Kabla ya mwaka huu kwisha wasanii mbali mbali wameamua kufunga mwaka kwa kurealise nyimbo zao mpya kwa wasanii wanaoiwakilisha Tanga mmoja wao ni Man Sasha mkali wa magumashi ,bora niseme na nyingine nyingi ambazo zilimtambulisha vyema kwenye gemu la music wa boNgo fleva .

Man sasha akizungumza na Nechi Makundi kupitia Bongo Bab kubwa Mwambao Fm leo Ijumaa amesema kikubwa kilichomfanya awe kyimia kwa muda  ni baada ya kupata ajali ya pikipiki ambayo ilimfanya kuchukua muda kupona goti na mkono ambao uliumia kwa kukwaruzuzika na jingine ni kutokuwa na Management  nzuri kwa ajili ya kumsaidi kwenye  kazi zake.

HUMUD GAUCHO KULIA
Lakini kwa upande mwingine hakusita kuwashukuru baadhi ya wadau ambo wamempa sapoti kufikia hapa alipo kama Humud Gaucho mchezaji wa timu ya Taifa na klabu ya Coastal union ,Abdi Banda ,Ibrahim Messi, Director Nicholas A

HII leo ametambulisha  wimbo wake  kupitia BONGO BAB KUBWA   kitu kingine kipya kwa ajili ya wadau wake amemshirikisha  Tunda man na Mwana dada  Merata  imepewa jina la " MAPENZI SADAKA LAWE"
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment