PICHA ZA MATUKIO YALIYOFANYIKA KATIKA MAZISHI YA ALMASI ABDALLAH SHIJA NYUMBANI KWAO KIBAHA MAILI MOJA

Marehemu Almasi Abdallah Shija  alifariki akiwa anauguzwa Tanga siku ya jumatatu tarehe  8 mwezi wa 8  2016 akiwa na umri wa miaka 32 na amezikwa leo katika makaburi ya pangani  kibaha maili moja.

Aidha kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wanafamilia marehemu alifariki kutokana na kupungukiwa damu tatizo ambalo limemchukua muda mrefu takribani miaka miwili hali iliyompelekea  kutoweza kufanya kazi  akiwa ni mtu wa kukaa ndani na kuhitaji uangalizi wa karibu.

Katika hatua za mwisho marehemu alishindwa hata kunyanyuka mwenyewe kutokana na  kukosa nguvu na eneo la chini kuanzia kwenye kiuno kushindwa kufanya kazi .

Enzi za uhai wake marehemu alikuwa ni moja kati ya watangazaji  wa Mwambao fm Tanga 106.1 Tanzania.

“Trustedmishen blog” kupitia kwa  CEO  N.E.C.H.I  Inapenda kutoa pole kwa ndugu na jamaa wote wa karibu walioguswa kwa namna moja au nyingine na msiba wa ndugu yetu Almasi Abdallah Shija .
Marehemu Almasi Abdallah Shija  enzi za uhai wake 

Kushoto  Almasi Abdallah Shija enzi za uhai wake akiwa na mfanyakazi mwenzie Jonas Msangi 

Marehemu wa kwanza kulia

Moja kati ya vijana waliofundishwa kwa vitendo na marehemu katika tasnia ya uandishi wa habari Prisillah kushoto ,almasi kulia.


“MUNGU AMPUMZISHE KWA AMANI, TULIMPENDA ILA YEYE KAMPENDA ZAIDI”

                                    ‘Inna lillahi wa inna ilaihi raji'un’










                                         Mbaraka shijah mdogo wake  marehemu


Yasini Shahibu Ali (K WA BONGE Tanzanian artist ) Mjomba wake Marehemu




















































Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. HAKIKA NI MAJONZI, ILA MAPENZI YA MUNGU NAYATIMIZWE, NA HAKI YAKE ITATENDEKA DAIMA

    ReplyDelete