
TIMU YA SIMBA NA COASTAL UNION KUTOKA HAPA NYUMBANI TANGA WAMEPIGWA FAINI YA LAKI TANO TANO KATIKA MCHEZO NAMBA 7 ULIKIOCHEZWA UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM KWA KUENDEKEZA MASWALA YA KISHIRIKINA LAKINI PIA TIMU YA YANGA IMEPIGWA FAINI YA LAKI TANO KWA MASHABIKI WAKE KUKOSA UUNGWANA KWA KUWARUSHIA CHUPA NA MAWE MASHABIKI WA MTIBWA SUGAR
ZAIDI SIKILIZA HAPA ##
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment