KAZI ZA WABUNIFU SHUGHULI IMERUDI KWAKO CHAGUA BUKTA UIPENDAYO KUWA JEZI YA TIMU YA TAIFA ##

Siku chache baada ya baada ya  Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kukaribisha wabunifu, kubuni mwonekano wa jezi mpya za timu ya Taifa kwa mechi za nyumbani na ugenini ambapo mwisho wa kufanya hivyo ilikuwa ni (Novemba 15 mwaka huu). katika Ubunifu ambao ulikuwa ni lazima uzingatie rangi za bendera ya Taifa.

na kuahidi kuwa Mshindi wa jezi ya nyumbani atapata sh. 1,000,000 (milioni moja), na mshindi wa jezi ya ugenini atapata pia sh. 1,000,000 (milioni moja)

TFF Imeanza zoezi la kupembua jezi zenyewe na imelirudisha kwako mwanamchezo kwa kuanzia na Bukta za ugenini: Chagua bukta uipendayo kuwa ya timu za Taifa .

Unaweza ukapiga kura yako kupitia link hiyo hapo:
http://tff.or.tz/bukta-za-ugenini-chagua-bukta-uipendayo-kuwa-ya-timu-za-taifa/
 BUKTA  ZA NYUMBANI :
 http://tff.or.tz/bukta-za-nyumbani-chagua-bukta-uipendayo-kuwa-ya-timu-za-taifa/
WAKATI KWA UPANDE WA JEZI  ZA NYUMBANI UNAPIGA KUPITIA LINK HII:
http://tff.or.tz/jezi-za-nyumbani-chagua-jezi-uipendayo-kuwa-ya-timu-za-taifa/ 
 JEZI ZAUGENINI:
http://tff.or.tz/jezi-za-ugenini-chagua-jezi-uipendayo-kuwa-ya-timu-za-taifa/


A

B
B

C
C

D
D

E
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment