MATUKIO KATIKA PICHA YA MECHI KATI YA COASTAL VS MTIBWA NA MATOKEO YA MECHI ZA LEO VPL ##


Ligi kuu vodacom iliendelea Leo na Jijini Dar es Salaam, Mganda Dan Sserenkuma aliifungia Simba Bao 2 na kuwapa ushindi wa Bao 2-1 walipocheza na JK Ruvu.

Bao za Simba zilifungwa Dakika za 1 na 48 wakati George Minja aliipa Bao pekee Ruvu JKT katika Dakika ya 19 Huko Morogoro, Bao la Dakika ya 66 la Said Bahanuzi liliwapa ushindi wa Bao 1-0 Polisi Morogoro walipocheza na Mbeya City huku huko Tanga, Mechi kati ya Coastal Union na Mtibwa Sugar ilimalizika 0-0.

Huko Mbeya, Prisons ilitoka Sare ya 1-1 na Kagera Sugar kwa Bao za Nurdin Chona na Rashid Mandawa.

Huko morogoro, bao la dakika ya 66 la said bahanuzi liliwapa ushindi wa bao 1-0 polisi morogoro walipocheza na mbeya city huku huko tanga, mechi kati ya coastal union na mtibwa sugar ilimalizika 0-0.

Huko mbeya, prisons ilitoka sare ya 1-1 na kagera sugar kwa bao za nurdin chona na rashid mandawa.

Mchezo uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani  coastal union na mtibwa sukari hapa tanga umekamilika dakika tisini timu zikitoshana nguvu ya bila kufungana
Mchezo ambao ulikuwa na upinzani wa hali ya juu kwa pande zote kila mmoja akijaribu kuliwahi lango na mwenzie pasipo mafanikio

VPL itaendelea Kesho Jumapili Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam ambapo Yanga watacheza na Ndanda FC na ushindi kwa Yanga utawafanya waongoze Ligi.

MATOKEO:

Simba 2 JKT Ruvu 1
Coastal Union 0 Mtibwa Sugar 0
Tanzania Prisons 1 Kagera Sugar 1
Polisi Morogoro 1 Mbeya City 0

MATUKIO KATIKA PICHA KATI YA COASTAL UNION 0 vs.  MTIBWA SUGAR 0
























































Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment