NEW VIDEO:VIDEO YA WIMBO ULIOFANYA VIZURI MWAKA JANA WA SAITOTI MOLEL _YERO MASAI HII HAPA ##

Baada ya ukyimia wa muda mrefu toka alipoachia   audio ya wimbo wake wa Yero Masai wimbo ambao ulitengenezwa na Issam Touch chini AIS MUSIC na kutambulishwa audio yake kwa mara ya kwanza baada ya kutoka studio MWAMBAO FM RADIO TANGA 106.1 NA MECK MANYANGA KUPITIA BONGO BAB KUBWA sambamba na kufanya show za hapa na pale ndani ya Tanga na nje ya Tanga kupitia ngoma hii Saitoti amevunja ukyimia kwa kuwapa wadau wake video ya wimbo huo unaweza itazama hapo chini mzee MZITO na KUISHARE PIA . USISAHAU KULIKE PAGE YETU KWA KUKUUPDATE KWA MISHE MISHE ZA TANGA NA NJE YA TANGA.https://www.facebook.com/pages/Trusted-mishen-town-com/1507041479537759?ref=aymt_homepage_panel
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment