Hapa tanga tupo na maproducer wengi sio chini ya saba lakini ni wachache mno waliojaaliwa vipaji vya kulimudu soko wanalolifanyia kazi kwa pande zote .
Katika kuonesha uwezo huo JB FEELING C.O WA INTERNATIONAL QUALITY (MADEBENI REC ) ametupenyezea audio aliyoifanya yeye mwenyewe kwa upande wa beet, vocal,mixing/mastering imepewa jina na naropokwa hapa akimzungumzia mtoto mzuri kila akimwona anaropokwa .
Wadau wa kubwa wa mziki wa bongo fleva kwa hapa tanga waliisikiliza kwa mara ya kwanza kupitia BONGO B KUBWA MWAMBAO FM , kama wewe hukupata fulsa hiyo unaweza kuisikiliza hapa na kuidownload pia.

0 comments:
Post a Comment