VIDEO :MCHEKI JULIO AKIZUNGUMZA BAADA YA KUWASILI COASTAL KITAALAMU ##
Baada ya kuwasili kwa julio coastal imekuwa gumzo kweli julio
kwa kauli yake mwenyewe kasema yeye sio kocha msaidizi yeye ni mtaalamu amekuja
kuisaidia timu kwa muda kama contractor wa muda tu ishu za usajili/ ligi
kuu msimu ujao zikianza kwa upande wa klabu yake ya mwadui atarudi mwadui
kwenda kuchukua nayo ubingwa ligi kuu 2015- 2016.
VIDEO NYINGINE HII HAPA
0 comments:
Post a Comment