FIFA LISTI YA UBORA DUNIANI IMETOKA TANZANIA YAPANDA NAFASI 7 IPO YA 100 GERMANY BADO NAMBARI 1 KIDUNIA ##

MABINGWA wa Dunia, Germany, bado wapo Nambari Wani mbele ya Argentina na Colombia huku Tanzania ikipanda Nafasi 7 na kukamata Nafasi ya 100.
 
Kwa Nchi za Afrika, Algeria ndio ipo juu ikiwa Nafasi ya 18 ikifuatiwa na Ivory Coast walio Nafasi ya 20.

Italy wameingia 10 Bora kwa mara ya kwanza tangu Juni 2014 na kuwaporomosha Mabingwa wa Dunia wa zamani Spain ambao sasa wako Nafasi ya 11.

Listi nyingine ya Ubora Duniani itatolewa hapo Aprili 9.

20 BORA:
1 Germany 
2 Argentina 
3 Colombia 
4 Belgium  
5 Netherlands 
6 Brazil 
7 Portugal  
8 France  
9 Uruguay  
10 Italy  
11 Spain  
12 Switzerland   
13 Costa Rica 
14 Romania 
15 Chile  
16 Czech Republic 
17 England  
18 Algeria  
19 Croatia  

NAFASI AMBAPO TANZANIA IPO 

96 Oman 
97 Iraq 
98 Belarus 
99 Saudi Arabia  
100 Tanzania 
101 Jordan 
102 Antigua and Barbuda 
102 Ethiopia  
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment