Coastal Union 2 Kagera Sugar 2
JKT Ruvu 0 Azam FC 1
![]() |
| KIKOSI CHA COASTAL UNION |
Coastal ilikuwa ya kwanza kupata bao dakika ya sita, kupitia Suleiman Kibuta kabla ya Atupele Green kuisawazishia kagera Sugar dakika ya 52 akimalizia kona ya mkongwe George Kavilla.
Coastal ikafanikiwa kuongoza tena mchezo kwa bao la Rama Salim kwa penalti dakika ya 67, kufuatiwa Kibuta kuchezewa rafu na beki wa Kagera, Ibrahim Job.
Hata hivyo, kagera wakasawazisha kwa mara nyingine, mfungaji Enock Kyaruzi baada ya kazi nzuri ya Rashid mandawa dakika ya 85. Matokeo hayo yanaifanya kila timu ijiongezee pointi moja.
Kwa upande wa Azam BAO pekee la Didier Kavumbangu, limeipa Azam FC ushindi wa bao 1-0 dhidi
ya JKT Ruvu Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam jioni ya leo.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Burundi, Kavumbangu alifunga bao hilo dakika ya 17 kwa kichwa akimalizia krosi ya beki wa kulia, Shomary Kapombe.
Kavumbangu sasa anatimiza mabao tisa katika mbio za ufungaji bora, akifuatiwa na Rashid Mandawa wa Kagera Sugar mwenye mabao saba sawa na Abasalim Chidiabele wa Stand United.
Na kwa ushindi huo, Azam FC inatimiza pointi 30 baada ya mechi 16, ikizidiwa pointi moja na vinara, Yanga SC ambao hata hivyo wamecheza
mechi 15.
Ligi itaendelea Jumapili ambapo kuna
Mechi 3 ikiwemo Bigi Mechi, Dabi ya Kariakoo, katika ya Miamba Nchini wanaotoka
Kitongoji hicho cha Kariakoo, Simba na Yanga, kukwaana Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam.
RATIBA KESHO:
JUMAPILI MACHI 8
Mgambo JKT v Ndanda FC
Mtibwa Suga v Mbeya City
Simba v Yanga
MSIMAMO:
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
|
1
|
Yanga
|
15
|
9
|
4
|
2
|
21
|
8
|
13
|
31
|
|
2
|
Azam FC
|
16
|
7
|
7
|
2
|
23
|
12
|
11
|
30
|
|
3
|
Kagera Sugar
|
18
|
6
|
7
|
5
|
15
|
15
|
0
|
25
|
|
4
|
Simba
|
16
|
5
|
8
|
3
|
20
|
12
|
8
|
23
|
|
5
|
Coastal Union
|
18
|
5
|
8
|
5
|
13
|
12
|
1
|
23
|
|
6
|
Mtibwa Sugar
|
16
|
5
|
7
|
4
|
17
|
16
|
1
|
22
|
|
7
|
Ndanda FC
|
17
|
6
|
4
|
7
|
16
|
19
|
-3
|
22
|
|
8
|
Stand United
|
17
|
5
|
6
|
6
|
16
|
18
|
-2
|
21
|
|
9
|
Ruvu Shooting
|
17
|
5
|
6
|
6
|
12
|
14
|
-2
|
21
|
|
10
|
JKT Ruvu
|
17
|
5
|
5
|
7
|
15
|
17
|
-2
|
20
|
|
11
|
Polisi Moro
|
17
|
4
|
7
|
6
|
13
|
16
|
-3
|
19
|
|
12
|
Mbeya City
|
16
|
4
|
6
|
6
|
11
|
15
|
-4
|
18
|
|
13
|
Mgambo JKT
|
15
|
5
|
2
|
8
|
8
|
16
|
-8
|
17
|
|
14
|
Tanzania Prisons
|
17
|
1
|
10
|
6
|
11
|
21
|
-10
|
13
|

0 comments:
Post a Comment