PICHA : WASANII WAKIWA LOCATION KWA AJILI YA KUTENGENEZA WIMBO MAALUMU ULIOIMBWA NA WASANII WA KIKE TANZANIA - SIMAMA NAMI ##

Simama nami Huu ni wimbo maalumu ulioimbwa na wasanii wa kike kutoka TANZANIA, wimbo huu unahusu janga la mauaji la ALBINO nchini Tanzania na duniani kote. Wimbo umeimbwa na wasanii hawa 1. Kajala (Bongo Movie), 2.Shamsa Ford (Bongo Movie), 3. Keisher (Bongo Flava Artist) 4. Mwasiti (Bongo Flava), 5. Linah (Bongo Flava), 6. Grace Matata (Bongo Flava), 7. Jack Wolper (Bongo Movie), 8. Irene Uwoya (Bongo Movie) 9. Shilole (Bongo Flava/Bongo Movie) 10. Khadijanito (Bongo Flava) 11. Zamaradi (Mtangazaji wa Radio)  sasa wasanii hao waliohusika katika audio hiyo wanapambana kwa ajili ya kufanikisha video pia unaweza tazama hapo chini wakati shughuli inaendelea .( Hanscana kwenye camera_Director ambaye nyota  yake ishaanza kungaaa )





creditBYdjchokamusic.com
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment