
Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Kapteni
John Komba aliyefariki jioni ya tarehe 28 februari 2015 jijini Dar es
salaam,kushoto ni mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama
Salma Kikwete.

Mwenyekiti
wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba nyumbani kwake
Mbezi Tangi Bovu

Wasanii wa TOT wakilia kwa uchungu msibani

Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisalimiana na wasanii wa TOT wakati akiwasili msibani.

Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akisaini kitabu cha maombolezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.
Waziri Mkuu Mstaafu Ndugu Fredrick Sumaye akimpa pole mke wa marehemu Kapteni John Komba.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisaini kitabu cha maombelezo kwenye msiba wa Kapteni John Komba.

Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Anna Makinda
akisaini kitabu cha maombelezo ya msiba wa Mbunge wa Mbinga Magharibi
Kapteni John Komba.
RATIBA YA KUAGA RASMI
MWILI WA MAREHEMU CAPT. JOHN DAMIANO KOMBA, (MB.) KESHO JUMATATU TAREHE 2
MACHI, 2015 KATIKA VIWANJA VYA KARIMJEE NA UTARATIBU WA SAFARI
NA.
|
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
1.
|
12:00 - 01:00
|
Familia na
Waombolezaji kupata chai nyumbani
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
2.
|
01:00 - 04:00
|
Misa ya kuaga mwili wa Marehemu
|
Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa
|
3.
|
04:00 - 04:30
|
· Ndugu, Jamaa na
Wananchi kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
· Viongozi wa Vyama
vya Siasa, Waheshimiwa Wabunge, Manaibu Waziri, Mawaziri kuwasili na kuketi
katika nafasi zao
|
Katibu wa Bunge
|
4.
|
04:33
|
Kiongozi wa Upinzani Bungeni kuwasili
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
5.
|
04:36
|
Mhe. Naibu Spika kuwasili
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
6.
|
04:39
|
Mhe. Spika kuwasili
|
Mhe. Naibu Spika
|
7.
|
04:42
|
Mhe. Waziri Mkuu kuwasili
|
Mhe. Spika
|
8.
|
04:50
|
Mhe. Makamu wa Rais kuwasili
|
Mhe. Spika
|
9.
|
05:00
|
Mhe. Rais kuwasili
|
Mhe. Spika
|
10.
|
05:00
|
Mwili wa Marehemu kuwasili kwa gwaride maalum la Sergeant-At-Arms
|
Katibu wa Bunge
|
11.
|
05:00 - 05:15
|
Sala fupi
|
Kanisa Katoliki,
Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa
|
12.
|
05:15 - 05:20
|
Wasifu wa Marehemu
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
13.
|
05:20 - 05:30
|
Salamu na
Rambirambi za Chama cha Mapinduzi (CCM)
|
Katibu Mkuu, CCM
|
14.
|
05:30 - 05:35
|
Salamu na Rambirambi kutoka kwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni
|
Kiongozi wa Upinzani Bungeni
|
15.
|
05:35 - 05:45
|
Salamu na Rambirambi za Serikali
|
Waziri Mkuu
|
16.
|
05:45 - 05:55
|
Salamu na Rambirambi za Uongozi wa Bunge
|
Mhe. Spika
|
17.
|
05:55 - 06:00
|
Neno la Shukrani
toka kwa familia
|
Mwakilishi wa Familia
|
18.
|
06:00 - 06:15
|
Utaratibu wa safari
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
19.
|
06:15 - 07:15
|
Kuaga Mwili wa Marehemu kulingana na Itifaki
|
MC
|
20.
|
07:15
|
Mwili wa Marehemu kuondoka uwanjani kuelekea Uwanja wa Ndege
|
MC
|
21.
|
07:20 - 07:25
|
Viongozi wa Kitaifa kuondoka kulingana na Itifaki
|
MC
|
22.
|
07:40
|
Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
23.
|
08:00
|
Mwili, Familia na Waombolezaji kuondoka kuelekea Songea
|
Kaimu Katibu wa Bunge
|
24.
|
10:00
|
Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndge Songea na kupokelewa
na Mkuu wa Mkoa
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
|
25.
|
10:00 - 10:15
|
Mwili wa Marehemu kuelekea Uwanja wa Majimaji
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
|
26.
|
10:15 - 11:00
|
Mkuu wa Mkoa kuongoza wakazi wa Ruvuma kuaga mwili wa Marehemu
|
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
|
27.
|
11:00 - 01:00
|
Mwili wa Marehemu kuondoka Uwanja wa Majimaji kuelekea Lituhi,
Nyasa
|
· Ofisi ya Mkuu wa
Mkoa
· Kaimu Katibu wa
Bunge
|
28.
|
01:00
|
Mwili kuwasili nyumbani na taratibu za kifamilia kuendelea
|
MC
|
0 comments:
Post a Comment