Vijana wa Yamoto Band siku ya 21 February 2015 waliweka Historia katika jiji la London wakiwa ni watanzania wa kwanza kufanya Live show kwenye ukumbi wa Royal Regency na kuhudhuliwa na mamia ya wakaazi wa Jiji la London na vitongoji vyake. video hapo chini mambo yalivyokuwa.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment