WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo
jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya
Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu
kiasi.
Wilaya ya
Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu
kiasi.
Wilaya ya
Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu
kiasi.
Wilaya ya
Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
KESHO MCHANA
Wilaya ya
Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu
kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu
kiasi na vipindi vya jua.
[Mkoa wa Morogoro(kusini)]:
|
|
Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo
na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na
Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro(kaskazini)]:
[Mikoa ya Dodoma
na Singida]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
33°C
|
25°C
|
12:30
|
12:38
|
Muheza
|
33°C
|
25°C
|
12:30
|
12:38
|
Pangani
|
32°C
|
24°C
|
12:30
|
12:38
|
Lushoto
|
26°C
|
16°C
|
12:34
|
12:42
|
Korogwe
|
32°C
|
22°C
|
12:34
|
12:42
|
Handeni
|
32C
|
20°C
|
12:34
|
12:42
|
Kilindi
|
31°C
|
20°C
|
12:34
|
12:42
|
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 10/03/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment