WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 07/04/2015.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo
jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache.
KESHO MCHANA
Wilaya ya
Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya
Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi
vya jua.
Wilaya ya
Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya
Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya
Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu
kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu
kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani
na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO
NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
32°C
|
25°C
|
12:27
|
12:28
|
Muheza
|
32°C
|
23°C
|
12:27
|
12:28
|
Pangani
|
32°C
|
24°C
|
12:27
|
12:28
|
Lushoto
|
25°C
|
17°C
|
12:27
|
12:28
|
Korogwe
|
29°C
|
22°C
|
12:27
|
12:28
|
Handeni
|
30°C
|
21°C
|
12:27
|
12:28
|
Kilindi
|
30°C
|
20°C
|
12:27
|
12:28
|
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 07/04/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment