ISIHAKA ATIA DOLE GUMBA MIAKA 3 SIMBA SC ##

Simba imefanikiwa kuongeza mkataba wa miaka mitatu na nahodha wake Hassan Isihaka.

Isihaka ambaye awali alielezwa kukataa kusaini akitaka apewe dau kubwa, jana amesaini mkataba huo mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva anayeonekana kwa mbali pichani .


Kamati ya usajili ya Simba chini ya Mwenyekiti Zacharia Hans Poppe na Kassim Dewji ‘Gwiji’ ndiyo ilisimamia zoezi zima la Usajili na bado inaendelea kuweka mabo sawa kwa ajili ya wengine ambao nao wataendeleza kandarasi zao.

Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment