NEW VIDEO: HUSSEIN MACHOZI – ULIKUWA WAPI OFFICIAL VIDEO ##

Ulikuwa Wapi?’ hilo ni swali, lakini pia ndio jina la wimbo ambao msanii Hussein Machozi ameachia rasmi video yake mpya. Video ya wimbo huo wa Machozi ambao ulivuja mwaka jana mwishoni ukiwa na jina la ‘Mdogo Mdogo’ kabla hajauruhusu uendelee kupigwa, imefanywa na kampuni ya Kwetu Studios ya jijini Dar es salaam.

Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment