
Naibu Waziri wa Maendeleo ya
Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Dk. Pindi H. Chana (Mb) (katikati) akiwa
na Mwenyekiti wa Baraza la Watoto Ameir Haji Khamis (kushoto) na Muweka
Hazina wa Baraza hilo Haitham Juma (kulia) pamoja na Wajumbe wa Kamati
Kuu wa Baraza la Watoto na Baadhi ya Walezi.
Wajumbe wa Kamati Kuu wa Baraza la Watoto wakijadili baadhi ya mambo yanayowahusu watoto pamoja na changamoto zinazowakabili.

picha ya pamoja

0 comments:
Post a Comment