TAIFA STARS YAMALIZA VIBAYA KOMBE LA COSAFA BAADA YA KUTUNGULIWA KIMOJA ##

TANZANIA imemaliza mechi zake za Kundi B Kombe la COSAFA bila ushidi, ikifungwa zote baada ya jioni ya leo kulala 1-0 mbele ya Lesotho katika mchezo uliofanyika Uwanja wa Moruleng mjini Rusternburg, Afrika Kusini.

Michezo ya awali, Tanzania ilifungwa 1-0 na Swaziland na baadaye 2-0 na Madagascar na sasa inarejea nyumbani, ikiicha michuano hiyo ikiingia hatua ya Robo Fainali.


Kwenye Mechi nyingine ya Kundi B iliyochezwa sambamba na hii ya Stars, Madagascar na Swaziland zilitoka 1-1 na hivyo Madagascar kushinda Kundi B na kutinga Robo Fainali ambako watacheza na Ghana, Timu nyingine Wageni Waalikwa kama Stars.
VIKOSI:
Lesotho: Kananelo Makhooane, Thabiso Mohapi, Nketsi Rankhasa, Tsotleho Paul Jane, Thapelo Mokhehle, Jeremea Kamela, Nkau Lerotholi, Hlompho Kalake, Bushy Moletsane, Mabuti Potloane, Ts’oanelo Koetle.
Tanzania: Deogratias Munisi, Agrey Ambros, Salim Mbonde, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Mwinyi Kazimoto, Said Juma, Hassan Dilunga, Mwinyi Mngwali, Saimon Msuva, John Bocco.
REFA: Joshua Bondo (Botswana)
++++++++++++++++++++++++
MSIMAMO:
KUNDI A
-Kila Timu imecheza Mechi 3
Namibia Pointi 7
Zimbabwe   Pointi 6
Mauritius  Pointi 3
Seychelles Pointi 1 
KUNDI B             
-Kila Timu imecheza Mechi 3
Madagascar Pointi 7
Swaziland Pointi 7
Lesotho Pointi 3
Tanzania Point 0
+++++++++++++++++++++++++++ 
RATIBA KAMILI:
HATUA YA MAKUNDI
Mei 17
MECHI 1: Namibia 0 Seychelles 0
M2: Zimbabwe 2 Mauritius 0
Mei 18
M3: Lesotho 1 Madagascar 2
M4: Tanzania 0 Swaziland 1
Mei 19
M5: Seychelles 0 Zimbabwe 1
M6: Namibia 2 Mauritius 0 
Jumatano Mei 20
M7: Madagascar 2 Tanzania 0
M8: Lesotho 0 Swaziland 2
Alhamisi Mei 21
M9: Namibia 4 Zimbabwe 1
M10: Seychelles 0 Mauritius 1
Ijumaa Mei 22
M11: Lesotho 1 Tanzania 0
M12: Madagascar 1 Swaziland 1
ROBO FAINALI
Jumapili Mei 24
M13 (RF1): Zambia vs Namibia – 16h00 – Moruleng
M14 (RF2): South Africa vs Botswana – 18h30 – Moruleng
Jumatatu Mei 25
M15 (RF3): Ghana vs Madagascar – 18h00 – Olympia Park
M16 (RF4): Mozambique vs Malawi – 20h30 – Olympia Park
NUSU FAINALI-NGAO
Jumatano Mei 27
M17 (NF1): Aliefungwa M13 vs Aliefungwa M15 – 18h00 – Olympia Park
M18 (NF2): Aliefungwa M14 vs Aliefungwa M16 – 20h30 – Olympia Park
NUSU FAINALI-KIKOMBE
Alhamisi Mei 28
M19 (NF1): Mshindi M13 vs Mshindi M15 – 18h00 – Moruleng
M20 (NF2): Mshindi M14 vs Mshindi M16 – 20h30 – Moruleng
FAINALI-NGAO
Ijumaa Mei 29
M21 (Fainali-Ngao): Mshindi M17 vs Mshindi M18 – 18h00 – Olympia Park
MSHINDI WA TATU
Jumamosi Mei 30
M22: Aliefungwa M19 vs Aliefungwa M20 – 16h00 – Moruleng
FAINALI-KIKOMBE
M23: Mshindi M19 vs Mshindi M20 – 18h30 – Moruleng

Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment