WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA
WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 21/05/2015.
[Utabiri huu unahusu
mkoa wa Tanga na maeneo jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali
ya Mawingu kiasi.
KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na Hali
ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
UPEPO MKALI UNAOFIKIA KM 40 KWA SAA NA
MAWIBI MAKUBWA YANAYOFIKIA MITA 2.0 VINATARAJIWA KATIKA UKANDA WOTE WA PWANI.
[Arusha, Kilimanjaro na
Manyara]:
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]
[Mikoa ya Morogoro,
Dodoma na Singida]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA
MACHWEO YA JUA.
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
31°C
|
24°C
|
12:25
|
12:15
|
Muheza
|
31°C
|
24°C
|
12:25
|
12:15
|
Pangani
|
30°C
|
22°C
|
12:25
|
12:15
|
Lushoto
|
23°C
|
16°C
|
12:25
|
12:15
|
Korogwe
|
27°C
|
20°C
|
12:25
|
12:15
|
Handeni
|
27°C
|
19°C
|
12:25
|
12:15
|
Kilindi
|
27°C
|
19°C
|
12:25
|
12:15
|
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 21/05/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment