UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 25/07/2015.##


WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 25/07/2015.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]


LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi.

KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua..
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua nyepesi katika Maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:




Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

 [Mikoa ya Dodoma, Singida na Morogoro]:
 [Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:


Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
29°C
22°C
12:35
12:25
Muheza
29°C
21°C
12:35
12:25
Pangani
28°C
20°C
12:35
12:25
Lushoto
24°C
13°C
12:35
12:25
Korogwe
28°C
17°C
12:35
12:25
Handeni
24°C
17°C
12:35
12:25
Kilindi
27°C
17°C
12:35
12:25

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 25/07/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment