Mkongwe wa
muziki wa taarab, bi. Shakila ni moja kati ya
wasanii wa taarab asilia wa
zamani walioijenga misingi mizuri tasnia
hiyo mtazame hapa akitupa historia yake akiwa
ndani ya kipindi cha danga chee.
Katika
maelezo yake bi. shakila amesema anatamani sana kufanya kazi na diamond platinum
katika wimbo wake wa “macho yanacheza moyo unalia”
0 comments:
Post a Comment