UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO



 WIZARA YA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 29/01/2016.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]


LEO USIKU:
v  Wilaya ya Tanga: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.
v  Wilaya ya Muheza: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.
v  Wilaya ya Pangani: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.
v  Wilaya ya Korogwe: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.
v  Wilaya ya Lushoto: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.
v  Wilaya ya Handeni: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.
v  Wilaya ya Kilindi: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache.

KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.



[Mikoa ya Dar-es-Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua


[Mikoa ya Arusha, Manyara na Kilimanjaro]:



Hali ya Mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.


ANGALIZO
VIPINDI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MIKOA YA LINDI, MTWARA, MOROGORO, KATAVI, RUKWA, MBEYA, NJOMBE, IRINGA NA RUVUMA.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI

KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
28°C
22°C
12:20
12:42
Muheza
28°C
22°C
12:20
12:42
Pangani
29°C
22°C
12:20
12:42
Lushoto
25°C
17°C
12:20
12:42
Korogwe
29°C
20°C
12:20
12:42
Handeni
29°C
20°C
12:20
12:42
Kilindi
29°C
20°C
12:20
12:42

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 29/01/2016.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment