TFF imefanya marekebisho ya Ratiba yake ya Ligi Kuu Vodacom ili
kuipisha Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Taifa Stars na Benin
itakayochezwa Oktoba 12 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Siku ambayo
ndio ilikuwa iwe Dabi ya Kariakoo, ule mtanange wa Mahasimu wa Jadi,
Yanga na Simba.
Sasa Dabi hii itafanyika Oktoba 18 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Na kwa sababu, TFF imesogeza mbele mechi zilizokuwa zichezwe wikiendi ya Oktoba 11 na 12 na sasa zitachezwa Oktoba 18 na 19.
Oktoba 18, Polisi Morogoro itamenyana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, Ndanda na Ruvu Shooting Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara, Kagera Sugar na Stand United Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Coastal Union na Mgambo JKT Uwanja wa Mkwakwani, Tanga, Mbeya City na Azam FC Uwanja wa Sokoine, Mbeya na Yanga na Simba Taifa.
Mzunguko huo utahitimishwa na mchezo kati ya Prisons na JKT Ruvu Uwanja wa Sokoine, Mbeya Oktoba 19.
Zaidi ya hapo, Ratiba ya Ligi Kuu inabaki kama ambayo ilitolewa awali na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

RATIBA
Septemba 27
Simba v Polisi Moro [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
Mtibwa Sugar v Ndanda FC [Manungu, Morogoro]
Azam FC v Ruvu Shooting [Azam Complex, Dar es Salaam]
Mbeya City v Coastal Union [Sokoine, Mbeya]
Mgambo JKT v Stand United [Mkwakwani, Tanga]
Septemba 28
JKT Ruvu v Kagera Sugar [Azam Complex, Dar es Salaam]
Yanga v Prisons [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
POLISI MOROGORO Vs KAGERA SUGAR ( JAMHURI MOROGORO )
MSIMAMO:
NA | TIMU | P | W | D | L | F | A | GD | PTS |
1 | Ndanda FC | 1 | 1 | 0 | 0 | 4 | 1 | 3 | 3 |
2 | Azam FC | 1 | 1 | 0 | 0 | 3 | 1 | 2 | 3 |
3 | Mtibwa Sugar | 1 | 1 | 0 | 0 | 2 | 0 | 2 | 3 |
4 | Tanzania Prisons | 1 | 1 | 0 | 0 | 2 | 0 | 2 | 3 |
5 | Mgambo JKT | 1 | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | 3 |
6 | Coastal Union | 1 | 0 | 1 | 0 | 2 | 2 | 0 | 1 |
7 | Simba | 1 | 0 | 1 | 0 | 2 | 2 | 0 | 1 |
8 | Mbeya City | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
9 | JKT Ruvu | 1 | 0 | 1 | 0 | 0 | 0 | 0 | 1 |
10 | Kagera Sugar | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 1 | -1 | 0 |
11 | Polisi Moro | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 3 | -2 | 0 |
12 | Yanga | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | -2 | 0 |
13 | Ruvu Shooting | 1 | 0 | 0 | 1 | 0 | 2 | -2 | 0 |
14 | Stand United | 1 | 0 | 0 | 1 | 1 | 4 | -3 | 0 |
0 comments:
Post a Comment