Moja ya kazi
kubwa wanazozifanya "TAWLA "- chama cha wanasheria wanawake ni kuhakikisha wanatoa elimu katika jamii kwa
namna moja au nyingine wakitambua kuwa haki haina jinsia na kinachohitajika ni usawa kwa kila jinsia.
Kupitia vipindi vyao vikubwa vinavyoendeshwa hapa
nchini vikijulikana kwa jina la
‘itambue haki yako’ nilifanikiwa
kunasa moja ya somo zuri kabisa likiwahusu wanandoa somo ambalo linafundishwa na mama
veronika holela – mwanasheria kutoka chama cha wanawake wana
sheria (TAWLA)
JE UNAFAHAMU
NINI MAANA YA NDOA? …….
JIBU:
NDOA NI MUUNGANO KATI YA MWANAMKE NA
MWANAUME AMBAO UNATAKIWA KUDUMU KWA MUDA WOTE.
SIKILIZA HAPA
/
0 comments:
Post a Comment