Young Dee kuachia ngoma aliyomshirikisha Jux Alhamis hii.Baada ya kuachia wimbo wa rock, Rock Star,huyo Young Dee ataachia ngoma nyingine Alhamis hii hapo keso.
Ambapo Kwenye wimbo huo, Young Dee amemshirikisha Jux.
Young Dee pia hii leo ameonyesha na kuweka mitandaoni cover ya ngoma hiyo.
0 comments:
Post a Comment