MSIKILIZE V MONEY AKIZUNGUMZIA SHOW ANAZOZIFANYA ZINAVYOMJENGEA UWEZO ##

Vanessa Mdee azungumzia show za mwaka huu zilivyomjengea uwezo wa kutumbuiza jukwaani

Vanessa Mdee amekiri kuwa show nyingi kubwa alizofanya mwaka huu zimemuongezea uwezo mkubwa wa kutumbuiza jukwaani.

Vee Money amesema  kuwa kila siku amekuwa akijitahidi kujifunza vitu vipya ili kuhakikisha show zake zinakuwa za tofauti. “Mtu ambaye ameshawahi kuperform atakuambia ‘the best way to learn or to practice ni kufanya tu kwenye performance,” amesema Vanessa.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment