Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Makorora jijini Tanga,Jestina Msumari akimpia urefu mtoto Jumanne Mohamed ikiwa kampeni ya kupima afya za watoto waliochini ya miaka mitano na wazee walio na umri wa juu ya miaka 60 iliyoanzishwa na Mfuko wa bima ya Afya mkoa wa Tanga(NHIF) jana kushoto ni Meneja wa Mfuko huo,Ally Mwakababu
PICHA ZA KAMPENI YA UPIMAJI WA AFYA ZA WATOTO NA WAZEE ILIYOENDESHWA NA MFUKO WA BIMA YA AFYA NHIF JANA. ##
Mganga Mkuu wa kituo cha Afya Makorora jijini Tanga,Jestina Msumari akimpia urefu mtoto Jumanne Mohamed ikiwa kampeni ya kupima afya za watoto waliochini ya miaka mitano na wazee walio na umri wa juu ya miaka 60 iliyoanzishwa na Mfuko wa bima ya Afya mkoa wa Tanga(NHIF) jana kushoto ni Meneja wa Mfuko huo,Ally Mwakababu
0 comments:
Post a Comment