TFF YAELEZA CHANGAMOTO WALIZOKUMBANA NAZO KWA UPANDE WALIGI KUU KWA MECHI ZILIZO CHEZWA JUZI KUPITIA TIKETI ZA KIELECTRONIKI ##

Shirikisho ia soka nchini TFF limesema kuwa pamoja na ligi kuu soka Tanzania bara kuanza vizuri lakini inakabiliwa na changamoto mbalimba katika maeneo ya tiketi za kielektroniki.
Akizungumza na waandishi wa habari jiujini dar es salaam Mkurungenzi wa mashindano wa TFF  BONIFASI WAMBURA ,amesema kuwa mechi iliyokumbwa na changamoto hiyo ni mechi kati ya yanga na mtibwa sugar ambapo watu wengi walifika uwanjani lakini huwakukata tiketi.
Zaidi na Wambura
        
Kozi ya utawala wa mpira wa miguu inayowashirikisha makatibu wa vyama vya mpira wa miguu wa wanawake wa mikoa  imeanza jana katika viwanja vya karume jijini dar es salaam chini ya mkufunzi wa fifa Anduru Tandau
TAARIFA ZAIDI

 Shirikisho la soka nchini limetoa hati ya uhamisho wa kimataifa kwa wachezaji watano kwenda kucheza soka la  kulipwa nje ya nchi

PATA TAARIFA ZAIDI
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment