NEW MUSIC: MANYANG'AU NA UJIO MPYA WA NGOMA KALI TATU ##
Baada ya ukyimia wa muda wasanii wanaoiwakilisha TANGA IJA MUSIC, R MSONDA NA SHEDY BLACK wameamua kurudi kivingine kwa kutoa nyimbo tatu kwa mpigo .
Wakizungumza na NECHI MAKUNDI kupitia VIWANGO SHOW MWAMBAO FM Tanga wamewaahidi wakazi wa Tanga na wale wanao wa kubali kazi zao mambo makubwa kutoka kwao sambamba na video ambazo watafanya na PABLO WA APEX STUDIO.
MANYANG'AU -_- HILI DUDE_TRUSTEDMISHENTOWN.BLOGSPOT.COM
0 comments:
Post a Comment