Moja kati ya
wilaya nane katika mkoa wa tanga ni
wilaya mkinga yenye mandhari zuri na vivutio vingi pia ikisimamiwa
kwa uzuri na mkuu wa wilaya hiyo BI.MBONI MGAZA,
Katika
sikukuu hii ya eid el hajj nilifanikiwa kutembetembea katika kijiji cha moa kilichopo pembezoni mwa
bahari ya hindi kilichopo wilayani hapo
kikiwa na wakazi wengi wanaotegemea shughuli za uvuvi .
 |
MKUU WA WILAYA YA MKINGA BI .MBONI MGAZA |
Nikaona ni vyema kukushirikisha kile nilichokiona hapa kwa njia ya picha unaweza kuzitazama hapo chini.
 |
UFUKWE WA BAHARI YA HINDI KATIKA MJI WA MOA |
 |
MUONEKANO WA NGALAWA ZIKIWA BAHARINI |
 |
WAKAZI WA MOA WAKIWA KWENYE HARAKATI ZA MAANDALIZI YA KUINGIA BAHARINI TAYARI KWA UVUVI |
 |
BAADA YA SHUGHULI YA USIKU MZIMA HICHI NDICHO WAVUVI WALICHOREJEA NACHO ( SAMAKI AINA YA VISUMBA ) WAKIFANYIWA USAFI KWA AJILI YA KUUZA |
 |
MOJA KATI YA MADARAJA YALIYOKUWA YA KITUMIWA NA WAKOLONI ENZI HIZO KUPAKIA MIZIGO (KATANI) KUTOKA NCHI KAVU KUELEKEA KATIKA MELI ZILIZOKUWA ZIMETIA NANGA MWISHO WA DARAJA HILO KWA UPANDE WA BAHARINI. |
 |
MSIKITI ULIOPO PEMBEZONI MWA UFUKWE WA MOA ULIOKUWA UKITUMIKA NA WAKOLONI . |
 |
HICHO NDIO CHAKULA PENDWA KWA WATU WA MOA KUTOKANA NA URAHISI WA KUPATIKANA KWAKE. |
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment