UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 02/10/2014.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo
jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Hali ya mawingu
kiasi
Wilaya ya Muheza: Hali
ya mawingu kiasi
Wilaya ya Pangani: Hali ya mawingu kiasi
Wilaya ya Korogwe: Hali ya mawingu kiasi
Wilaya ya Lushoto: Hali ya mawingu
kiasi
Wilaya ya Handeni: Hali ya mawingu
kiasi
Wilaya ya Kilindi: Hali ya mawingu
kiasi
KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Hali ya mawingu
kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Hali ya mawingu
kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Hali ya mawingu
kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Hali ya mawingu
kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Hali ya mawingu
kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Hali ya mawingu
kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha
na Manyara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro
na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
31°C
|
23°C
|
12:09
|
12:18
|
Muheza
|
29°C
|
21°C
|
12:09
|
12:18
|
Pangani
|
29°C
|
23°C
|
12:09
|
12:18
|
Lushoto
|
23°C
|
14°C
|
12:09
|
12:18
|
Korogwe
|
26°C
|
16°C
|
12:09
|
12:18
|
Handeni
|
29°C
|
20°C
|
12:13
|
12:22
|
Kilindi
|
27°C
|
18°C
|
12:09
|
12:18
|
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 02/10/2014.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment