KWA WALE WADAU WA K WABONGE WANAOPENDA KAZI NZURI KUTOKA KWAKE UNAWEZA KUZIPATA HAPA ##

K WABONGE Nimoja ya wasanii wanaochipukia kwa kasi katika gemu la mziki wa Bongo Fleva jamaa anaiwakilisha Tanga ila support  bado  haijamwendea vizuri kutokea naifahamu kazi yake ya kwanza aliyofanya na Abuu Kisauti ikiwa imetengenezewa AM record kwa maneke "umeniacha" jamaa kiukweli anajua anachokifanya.

Kuwa mmoja ya watu watakao msa support kwa kuzisikiliza ngoma zake na unaweza pia ukatoa maoni yako kupitia page yetu ya facebook Trusted mishen town .com au ukurasa wake pia @K Wabonge Umeniacha




ZISIKILIZE NGOMA ZAKE HAPA:




Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment