NEW MUSIC:USIKILIZE NA UDOWNLOAD WIMBO WA DULLAH WA MICHANO _FT_ ALI NIPISHE- NI WANGU ##

Baada ya kufanya vyema kwenye wimbo wa Nazeeka aliomshirikisha kaka yake Sele wa Michano msanii kuoka Tanga anayefanya hip hop Dullah wa Michano safarii kaamua kuja na staili nyingine tofauti ya mabishano makali na Ally Nipishe mkali wa nyimbo kibao ikiwemo " MY" akizungumza na Nechi Makundi  dullah alieleza kuwa kutokea ameachia nazeeka  mwaka 2013  amekuwa kyimia bila kuwastua raia wanaoupenda mziki wake kwahiyo sasa ni wakati wa kupata kitu hichi kipya .

UNAWEZA UKAMSIKILIZA DULLAH AKIIZUNGUMZIA
BONYEZA HAPA KUUSIKILIZA AU KUUDOWNLOAD
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment