HERI YA MWAKA MPYA 2015 KWA WASOMAJI WETU NA WASHIRIKA WETU WA TRUSTEDMISHEN BLOG ##

 

Uongozi wa Trusted mishen unawatakia wasomaji wake heri ya mwaka mpya 2015 asante kwa kuwa nasi mwaka uliopita na kutupa ushirikiano wa hali ya juu, nakusihi ushirikiano uliotupa mwaka jana uendelee kwa mwaka 2015 na uwe na mafanikio kwa pande zote mbili ,sisi tunakuahidi kukupa habari za kuaminika ili kukata kiu yako ya kuhabarika.

AHSANTE !!!

Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment