Huu ni wimbo wa kwanza mpya kwa mwaka huu wa 2015 kutoka kwa msanii wa tanga akiwakilisha kundi la manyang'au umesikilizwa kupitia mwambao fm kipindi cha bong bab kubwa .
Ni moja kati ya nyimbo zilizopokelewa vizuri umetengenezwa ndani ya wiki hii na producer issam touch wa AIS MUSIC .
"Nabadilika badilika na ninafanya mziki wa aina yoyote kwasababu naweza nina kipaji namshukuru mungu kwa kunijali kipaji cha kubadilika badilika naweza kuimba , kurap, mchiku ,napiga mdananda zote nafanya alisema Ija Music ".
Home
BURUDANI
NEW MUSIC : KUWA WA KWANZA KUSIKILIZA KARATA YA KWANZA KUTOKA KWA MSANII ANAYEIWAKILISHA TANGA IJA MUSIC _ KALE KABINTI ##
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment