![]() |
MAREHEMU KOMBA ENZI ZA UHAI WAKE |
Komba amefariki dunia leo mchana kutokana na ugonjwa wa moyo.
Amefariki dunia kwenye Hospitali ya TMJ wakati madaktari wakijaribu kuokoa uhai.
Komba ndiye alikuwa kiongozi wa kundi la TOT, pia alikuwa msanii akiimba kwaya katika kundi hilo.
Kundi la TOT lilijumuisha sanaa mbalimbali zikiwemo kwaya, dansi, sarakazi na taarabu.
RIP Komba.
0 comments:
Post a Comment