WIZARA YA
UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI
YA HEWA TANZANIA
S.L.P.3056,
DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI
YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 26/02/2015.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali
ya mawingu kiasi.
Wilaya ya
Korogwe: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya
Lushoto: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya
Handeni: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya
Kilindi: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi.
KESHO MCHANA
Wilaya ya
Tanga: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya
Muheza: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya
Pangani: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya
mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya
Kilindi: Inatarajiwa
kuwa na hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
VIWANGO VYA
JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
[Mkoa wa Morogoro(kusini)]:
|
|
Hali
ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Mikoa
ya Dodoma na Singida]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi
katika maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
[Mikoa ya
Kilimanjaro,Manyara na Arusha]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na vipindi
vya jua.
|
[Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro(kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,mvua nyepesi
katika maeneo machache na vipindi vya
jua.
|
MIJI
|
KIWANGO
CHA JUU
|
KIWANGO
CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
34°C
|
23°C
|
12:32
|
12:43
|
Muheza
|
33°C
|
23°C
|
12:32
|
12:43
|
Pangani
|
33°C
|
22°C
|
12:32
|
12:43
|
Lushoto
|
27°C
|
15°C
|
12:32
|
12:43
|
Korogwe
|
32°C
|
22°C
|
12:32
|
12:43
|
Handeni
|
32°C
|
20°C
|
12:32
|
12:43
|
Kilindi
|
33°C
|
23°C
|
12:32
|
12:43
|
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 26/02/2015.
Na:
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment