Msanii maarufu wa Uganda, Bobi Wine ameachia video ya wimbo wake mpya alioimba kwa Kiswahili uitwao, Paradiso.
Wimbo huo unazungumzia umuhimu wa wazazi, na ameutoa mahsusi kwa wazazi wake ambao walishafariki.
Anasema kuwa marehemu baba yake, Sentamu ndiye aliyekuwa akimwambia mara kwa mara kuimba kwa Kiswahili lakini msanii huyo anayejiita Ghetto President hakuweza kutilia maanani kwakuwa aliona kuna wasanii wengine kama Jose Chameleone wanaoifahamu lugha hiyo vyema na hivyo hakutaka kujiabisha.
Home
BURUDANI
NEW VIDEO:MSANII KUTOKA UGANDA BOBI WINE KAAMUA KUJA NA HII YA KISWAHILI _PARADIZO IMEKUWA GUMZO ##
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment