UMESIKIA JUU YA KILICHOMUUA ABDUL BONGE WA TIP TOP CONNECTION ?SOMAHAPA ##

IMG_8378
Abdu Bonge alifariki jana Nyumbani majira ya Jioni alipokuwa akiamulia ogomvi wa watu wake wa karibu ndipo alianguka vibaya kwenye sakafu na kupoteza Maisha, Mwili bado uko hospitali kwa Uchunguzi zaidi na taratibu zikikamilika kesho mwili utasafirishwa kuelekea Morogoro Mbuyuni Kilometa takribani 100 kutokea Morogoro Mjini ambako ni Nyumbani kwa Marehemu. kwa sasa msiba upo Magomeni Njiapanda ya Kagera maskani ya Tiptop Connection.

UNAWEZA KUSIKILIZA PIA ALICHOKIZUNGUMZA BABU TALE HAPA
 
IMG_8324 IMG_8327
MB Doggy Msanii kutoka TipTop Connection akizungumza jambo na Rafiki waliotembelea Msibani hapo.
IMG_8329 IMG_8331
Mdogo wa Marehemu Mjomba Iddi mwenye Fulana Nyekundu akizungumza jambo na Rafiki Msibani hapo.
IMG_8333 IMG_8334
 Mdogo wa Marehemu Kwembe Taletale a.k.a DJ K Man mwenye Fulana Nyeusi akizungumza jambo na Ndugu na Jamaa Msibani hapo.
IMG_8360
Msanii wa komedi nchini KITALE akiingia msibani nyuma yake akiwa anaongozana na Stan Bakora
IMG_8375
Mtangazaji wa Clouds FM kipindi cha Ala za Roho Diva akiingia msibani akiwa na msanii wa bongo fleva Shilole
IMG_8378
Meneja Babu Tale akilia kwa uchungu
IMG_8380
Pichani ni Prod Lamar akiwa na msanii wa bongo fleva Barnaba Boy
IMG_8390
Msanii wa bongo flava Diamond akiingia msibani
IMG_8401 IMG_8413
Mtangazaji wa Times FM Jabir Saleh akifanya mahojiano mafupi na msanii Kassim Mganga ambaye pia na yeye alikuwa member wa Tip Top Connection
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment