UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 28/03/2015.##


WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 28/03/2015.

[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.

KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu,mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu,mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu,mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu,mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu,mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu,mvua katika baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:



Hali ya mawingu, mvua katika  baadhi ya maeneo na vipindi  vifupi vya jua.
[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:
[Mikoa ya Dodoma na Singida]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
31°C
24°C
12:29
12:34
Muheza
30°C
22°C
12:29
12:34
Pangani
30°C
23°C
12:29
12:34
Lushoto
23°C
14°C
12:33
12:38
Korogwe
28°C
23°C
12:33
12:38
Handeni
29°C
20°C
12:33
12:38
Kilindi
30°C
22°C
12:33
12:38

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 28/03/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
                                                                       
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment