UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 04/03/2015. ##



WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 04/03/2015.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi.
KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.


[Mkoa wa Morogoro(kusini)]:




Hali ya mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.


[Mikoa ya Dodoma na Singida]:



Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache  na vipindi vya jua.


 [Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani]:
[Mkoa wa Morogoro(kaskazini)]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache  na vipindi vya jua.


[Mikoa ya Kilimanjaro, Manyara na Arusha]:






Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
33°C
26°C
12:32
12:42
Muheza
33°C
23°C
12:32
12:42
Pangani
34°C
24°C
12:32
12:42
Lushoto
27°C
15°C
12:36
12:46
Korogwe
32°C
23°C
12:36
12:46
Handeni
32C
22°C
12:36
12:46
Kilindi
31°C
20°C
12:36
12:46
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 04/03/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment