Hit maker wa ‘Basi Nenda’ Mo Music kutoka Rock City ameachia video yawimbo wake mpya ‘Nitazoea’, ikiwa ni siku chace toka atambulishe audio ya wimbo huo. Video imefanyika Dar na kuongozwa na Adam Juma wa Next Level. Hii itakuwa ni video ya pili kutoka kwa msanii huyo ambaye pia ni
mwanachuo wa SAUT Mwanza.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment