Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kuifariji familia ya
Marehemu Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang’ombe jijini
Dar es salaam jioni ya leo April 27, 2015. Marehemu anatarajiwa kuzikwa
siku ya Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya
Swala ya Alasiri katika msikiti wa Mtoro, baada ya kupata heshima zote
za kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es
salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiangalia wakati Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha
maombolezo alipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia Jeneral
Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang’ombe jijini Dar es salaam jioni ya leo
April 27, 2015.Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano katika
makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala ya Alasiri katika
msikiti wa Mtoro, baada ya kupata heshima zote za kijeshi asubuhi yake
katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma kikwete wakimsikiliza mtoto wa Marehemu Bw. Iddi Mbita kuhusu
taratibu za mazishi walipokwenda kuifariji familia ya Marehemu Brigedia
Jeneral Mstaafu Hashim Mbita Temeke Chang’ombe jijini Dar es salaam
jioni ya leo April 27, 2015. Marehemu anatarajiwa kuzikwa siku ya
Jumatano katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam baada ya Swala
ya Alasiri katika msikiti wa Mtoro, baada ya kupata heshima zote za
kijeshi asubuhi yake katika makao makuu ya Jeshi Upanga, Dar es salaam.
Rais Kikwete akiondoka msibani
Picha na IKULU
0 comments:
Post a Comment