WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO
KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO 30/04/2015.
[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo
jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali
ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache.
KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali
ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali
ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali
ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
[Mikoa ya
Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
|
|
Hali ya Mawingu, mvua na ngurumo katika baadhi ya maeneo na vipindi vifupi vya jua.
|
[Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani naTanga]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya
Dodoma, Singida na Morogoro]:
|
|
Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache
na vipindi vya jua.
|
ANGALIZO:
VIPINDI
VIFUPI VYA MVUA KUBWA VINATARAJIWA KATIKA MAENEO YA MIKOA YA MARA, ARUSHA,
KILIMANJARO NA MANYARA.
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO
NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
|
KIWANGO CHA JUU
|
KIWANGO CHA CHINI
|
MAWIO
|
MACHWEO
|
Tanga
|
29°C
|
22°C
|
12:24
|
12:18
|
Muheza
|
30°C
|
23°C
|
12:24
|
12:18
|
Pangani
|
30°C
|
24°C
|
12:24
|
12:18
|
Lushoto
|
24°C
|
15°C
|
12:24
|
12:18
|
Korogwe
|
29°C
|
23°C
|
12:24
|
12:18
|
Handeni
|
28°C
|
20°C
|
12:24
|
12:18
|
Kilindi
|
29°C
|
23°C
|
12:24
|
12:18
|
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 30/04/2015.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Post a Comment