MBUNGE JAMES MBATIA APENDEKEZA SHULE BINAFSI ZIPEWE RUZUKU TOKA SERIKALINI.##

Wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita katika
shule ya sekondari ya Maua Seminary wakiimba wimbo wa taifa wakati wa
mahafali ya kuhitimu kidato cha sita yaliyofanyika shuleni
hapo.
 
Wahitimu wa kidato cha sita shule ya
sekondari Maua Seminari.
 
Mkuu wa shule ya sekondari Maua seminari
,Erastus Tesha akizungumza katika mahafali ya 33 kwa wahitimu wa
kidato cha sita yaliyofanyika shuleni hapo.
Mgeni rasmi katika mahafali hayo ,mbunge wa
kuteuliwa na rais ,Mh James Mbatia akizungumza na wanafunzi wa shule
hiyo pamoja na wageni waalikwa .
Baadhi ya wageni waliofika shuleni hapo kwa
ajili ya mahafali ya ndugu zao wanaotarajia kuhitimu kidato cha sita
katika shule ya sekondary ya Maua.
Mbunge Mbatia akieleza mapungufu aliyoyaona
katika kitabu cha sera ya elimu kilichozinduliwa hivi karibuni na Rais
Jakaya Kikwete.
Mbatia akimkabidhi mkuu wa shule ya
sekondari Maua Seminary kitabu cha sera ya elimu.
 
Mkuu wa shule ya sekondari ya Maua Seminari
akimkabidhi Mbatia zawadi kutokana na kazi anayoifanya ya kutetea
elimu ya Tanzania.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ,Mbunge
Mbatia akitoa zawadi ya keki kwa wanafunzi wanaohitimu kidato cha sita
katika shule ya sekondary Maua Seminary.
Mgeni rasmi katika mahafali ya 33 ya kidato
cha sita katika shule ya sekondari ya Maua,James Mbatia akiwa katika
picha ya pamoja na walimu pamoja na wahitimu.
Mbunge Mbatia akiongozwa na mkuu wa shule ya
sekondari ya Maua Seminary,Erastus Tesha kutembelea maeneo mbalimbali
ya shule hiyo.
Baadhi ya majengo yaliyopo katika shule ya
sekondary Maua Seminary.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment