JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 15, May 2015
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 15, May 2015
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
…………………………………………………………………………………………….
Jeshi la Ulinzi la Wananchi
wa Tanzania linasikitishwa na taarifa za uvumi zilizotolewa kuenea
kwenye mitandao ya kijamii face book, whatsapp na twitter zikieleza kuwa
JWTZ inafanya usaili leo tarehe 15 May 2015 katika Chuo cha Dar es
Salaam Institute of Technology (DIT) kwa wale waliosoma fani ya Computer
science, IT, Electronics na Mechanical Enginering.
JWTZ linapenda kuwajulisha
wananchi pamoja na watumiaji wa mitandao hiyo kuwa taarifa hizo si za
kweli ni uvumi, JWTZ lina utaratibu wake wa kuandikisha Jeshini ambapo
hutoa taarifa katika vyombo vya habari kwa utaratibu ulio sahihi.
Aidha, Jeshi linaendelea
kusisitiza wananchi kuwa halina akaunti za mitandao hiyo na ni kinyume
cha sheria kusambaza ujumbe kwa kutumia jina au nembo ya JWTZ watakao
bainika watachukuliwa hatua za kisheria dhidi yao.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Mahusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
0 comments:
Post a Comment