Baada ya Joh Makini kutambulisha kichupa na single yake mpya ‘Nusu Nusu’wiki chache zilizopita, mkali mwingine kutoka Weusi, G-Nako a.k.aG-Warawara amedondosha video na ngoma mpya inayoitwa ‘Sichezi Mbali’. Audio imefanyika Noizmaker na video imefanywa na Cyne Studios.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment