UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 16/05/2015. ##



WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA MUDA WA SAA 24 ZIJAZO KUANZIA SAA 3:00 USIKU WA LEO TAREHE: 16/05/2015.

[Utabiri huu unahusu mkoa wa Tanga na maeneo jirani]
LEO USIKU:
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Korogwe: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na hali ya Mawingu kiasi na mvua katika Maeneo machache.

KESHO MCHANA
Wilaya ya Tanga: Inatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Muheza: Inatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Pangani: Inatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Lushoto: Inatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Handeni: Inatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.
Wilaya ya Kilindi: Inatarajiwa kuwa na Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika Maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dar es Salaam, Morogoro na Pwani]
[Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:


Hali ya Mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya  Dodoma na Singida]:

Hali ya Mawingu kiasi na vipindi vya jua.


VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA.
MIJI
KIWANGO CHA JUU
KIWANGO CHA CHINI
MAWIO
MACHWEO
Tanga
30°C
23°C
12:24
12:18
Muheza
29°C
23°C
12:24
12:18
Pangani
29°C
22°C
12:24
12:18
Lushoto
23°C
14°C
12:24
12:18
Korogwe
26°C
20°C
12:24
12:18
Handeni
25°C
20°C
12:24
12:18
Kilindi
26°C
20°C
12:24
12:18
Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 16/05/2015.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
Share on Google Plus

About trustedmishen

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment